Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,381
Huyo mpaka tumpime kwanza kwa mechi ya keshoYule mwingine vp kutokea kule wanakolima korosho?
Huyo mpaka tumpime kwanza kwa mechi ya keshoYule mwingine vp kutokea kule wanakolima korosho?
Usiwe na shaka wanapita Ufaransa na SenegalIla hili kundi sidhani kama Senegal yangu itatoboa kwakweli?
Mvua inaweza kufanya mechi kuonekana mbovuWachezaji kulowa sawa,sasa inakuwaje watu wa majukwaani,utadhani sio US?
Unasemaje kuhusu Ronaldo na mashindano haya?Haya ni mashindano ya Messi na Mbappe
Wengine ni kama wasindikizaji😂
Hakuna habari zaidi ya Lionel Messi kuzidi kufurahisha wapenzi wa soka tu, huku wengine wakiumia.herman joshua tupe muongozo kidogo!