Hivi mtoano ushaanza???Ana mind badala ya kupambania timu
Bado ila kwenye group stage ukisha fungwa mechi mbili tu unakua umeaga mashindano.Hivi mtoano ushaanza???
Duhhh kumbe!!Bado ila kwenye group stage ukisha fungwa mechi mbili tu unakua umeaga mashindano.
Kwa hio Senegal gudubai 🥲Bado ila kwenye group stage ukisha fungwa mechi mbili tu unakua umeaga mashindano.
Na ukishinda mechi mbili tu kwenye group stage unakua automatic ume advance kwenye next stage.Duhhh kumbe!!
Asante kwa mwongozo
Yaani kuna team unaziona hasa kama zishatokaDuhhh kumbe!!
Asante kwa mwongozo
Hivi wale wa draw kila mechi inakuwaje? Na incase magoli pia sawa sawaNa ukishinda mechi mbili tu kwenye group stage unakua automatic ume advance kwenye next stage.
Senegal na Iraq kwenye grp lao ndio wamesha aga mashindano tayari,Kwa hio Senegal gudubai 🥲
KabisaYaani kuna team unaziona hasa kama zishatoka
Ila Scars 😅😅😅
Sijakuelewa.Hivi wale wa draw kila mechi inakuwaje? Na incase magoli pia sawa sawa
Timu France since day 1Senegal na Irag kwenye grp lao ndio wamesha aga mashindano tayari,
Wamepita France na Norway,
- France 6 pts
- Norway 6 pts
- Senegal 0 pts
- Iraq 0 pts
DahhhhKwa hio Senegal gudubai 🥲