2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

40 - Today marks 40 years since Argentina won 2-1 against England at the 1986 FIFA World Cup, with Diego Maradona scoring twice.

Maradona made 16 dribbles in that game - the most by a player in a World Cup match against England on record since 1966.
 
Tangu mechi ya kwanza na ya leo sijafanikiwa kabisa kuitazama Argentina ila swali langu ni moja tu,

Kwani hiyo team nzima ya Argentina yenye wachezaji 11 uwanja na benchi la ufundi nje mfungaji ni mmoja tu, Messi?

Au anaanza yeye mwenyewe tu bila wachezaji wengine?

Msaada tafadhali
 
Hizi rekodi zilizotengenezwa kwa miaka 16 ni rekodi ambazo Mbappe atazifukia kwenye single tournament na hakuna media itayompa mileage.
FB_IMG_1782157096332.jpg
 
Tangu mechi ya kwanza na ya leo sijafanikiwa kabisa kuitazama Argentina ila swali langu ni moja tu,

Kwani hiyo team nzima ya Argentina yenye wachezaji 11 uwanja na benchi la ufundi nje mfungaji ni mmoja tu, Messi?

Au anaanza yeye mwenyewe tu bila wachezaji wengine?

Msaada tafadhali
Kufunga magoli sio sawa na makalio kusema kila mtu anayo.
 
Tangu mechi ya kwanza na ya leo sijafanikiwa kabisa kuitazama Argentina ila swali langu ni moja tu,

Kwani hiyo team nzima ya Argentina yenye wachezaji 11 uwanja na benchi la ufundi nje mfungaji ni mmoja tu, Messi?

Au anaanza yeye mwenyewe tu bila wachezaji wengine?

Msaada tafadhali
Jamaa anacheza na team wanajua namna za kucheza naye.Goal la pili la leo ni zaidi ya kulitafuta..kaliomba na kafunga..
 
Back
Top Bottom