2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Halafu hawa Tunisia ni wachovu sana ila cha ajabu kwenye game za kufuvu World Cup wanakomaa kinoma ila wakija world cup ni ujinga tu... Hata ligi ya Tunisia ni tia maji sana, Angalia last season wale Esperance wamecheza na Simba champions league but wanakata viuno tu uwanjani... Mi nilikua nakaa nawaangalia, yaani hawa ni Mabingwa wa Tunisia seriously?

Sasa kwenye hicho kikosi cha Tunisia kina machezaji mpaka ya Esperance na mengine ya kutoka timu zingine za ligi ya Tunisia..
 
Kwani hawa Tunisia si tulitoa nao draw Afcon tena ilibidi tuwafunge
 
Kwahiyo tusiwashangae kabisa haki Yao kutudhalilisha waafrika kwenye World Cup
Hawa toka afcon uliona hawana timu...yule dogo hannibal aliongea ukweli watu waka mind...alisema tunisia tupo nyuma miaka 10 kwenye mpira. Sasa wewe mechi mbili goli 9 conceded ukizingatia wewe una experience ya worldcup mara saba unafungwaje goli zote hizo
 
Wakuu ndo kuamka hapa kuiendeleza wekeend

Huyu kocha ya Tunisia akimaliza mashindano yapaswa afungiwe kabisa anaharibu haiba ya kikosi cha Tunisia inamaana mbinu zote ameshindwa kupata goli 1 walau
 
IMG-20260621-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom