Watavuka tuu, wanamaliza kundi na wale jamaa waliopigwa 7 germanyAna nafasi ipi Ivory cost kupita?
Watavuka tuu, wanamaliza kundi na wale jamaa waliopigwa 7 germanyAna nafasi ipi Ivory cost kupita?
Ndio nafasi ya ivorycost sasa, labda wazingue tena. Watahitaji Droo tuCuracao wamewakazia Ecuador
Kwa hiyo wewe ukiwa kocha unaweza ukaita hata mchezaji mbovu just kwa sababu wengine ni wazuri?... kweli wewe ni wa kukudadisi!Hata hivyo mchambuzi wewe hauna point timu kikosi kinachoitwa 26. Sasa hapo mchezaji mmoja tu timu iwe mbovu na wanaocheza uwanjani ni 11. Na subs 4. Akiba 11??