SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,195
- 1,683
Tunisia ndo waarabu pekee WA Afrika wasiokuwa serious.
juzi na jana sijalala kabisa. Na game za leo ndio tamu balaaHabari za msimu huu wa Kombe la Dunia Wana-JamiiForums!
Mambo yamepamba moto, na ratiba ya mechi za usiku inatupa burudani sana. Scenario iko hivi: Mechi imeisha saa sita au saa nane usiku, ulikuwa "Bar" au nyumbani kwa mshkaji mnatupa vyombo (drinks), mnapiga kelele, na furaha au machungu ya goli yamepanda.
Alafu asubuhi saa moja na nusu asubuhi unapaswa kuwa ofisini au kwenye mihangaiko yako ya kila siku huku kichwa kikiwa kizito, mwili umechoka, na macho mekundu! 🥱💼
Kama mashabiki wa soka, tunapenda burudani lakini miili yetu sio chuma. Tunawezaje kuenjoy msimu huu bila kuharibu afya zetu na kazi zetu asubuhi inayofuata?
Mambo Matatu (3) ya Kuzingatia Kipindi Hiki cha Mechi za Usiku:
Kumbuka, hata wachezaji uwanjani wana madaktari wao wanaowafuatilia afya zao masaa 24 ili kuhakikisha wako "fit." Wewe kama shabiki, daktari wako wa akiba akiwa mfukoni mwako ni MILVIK Tanzania.
- Maji ni Kiungo Mkabadala (Hydration): Kama unakunywa pombe au vinywaji vyenye sukari wakati wa mechi, hakikisha unashushia na glasi kubwa ya maji kabla ya kulala. Inasaidia sana kuzuia ile hangover na kichwa kuuma asubuhi.
- Usile Vyakula Vizito Sana Usiku wa Manane: Kupiga chips kavu au nyama choma saa saba usiku wakati unaenda kulala kunafanya mfumo wa chakula usipumzike, na asubuhi utaamka umechoka zaidi.
- Sikiliza Mwili Wako (Mshtuko wa Afya): Kupoteza usingizi na mabadiliko ya ghafla ya ratiba kunaweza kushusha kinga ya mwili au kupandisha presha kwa baadhi yetu. Ukiona unapata dalili zisizo za kawaida (maumivu ya kichwa yasiyoisha, kifua kubana, au uchovu uliopitiliza), usikae kimya.
Ukiwa na dharura yoyote ya afya, au unahitaji tu ushauri wa daktari jinsi ya kurudisha mwili wako kwenye hali ya kawaida baada ya wiki ya mfululizo wa late nights, hauhitaji kwenda kupanga foleni hospitali ukiwa umechoka. Unaomba miadi kwa simu, na madaktari wetu wanakupigia ndani ya masaa 2 kukusaidia.
Mjadala Uwe Wazi:
Kulinda afya yako na ya familia yako msimu huu bila kukosa dakika yoyote ya burudani, kagua huduma zetu hapa: milvik.co.tz/weka-miadi au piga simu kwa huduma ya haraka wakati wowote (24/7): 0659 071 001.
- Wewe unashabikia timu gani msimu huu wa Kombe la Dunia?
- Mbinu yako ni gani ya kuamka salama na kuwahi kazini asubuhi baada ya mechi za usiku na "vyombo" vya hapa na pale? Tupige soga hapa chini! 👇⚽🍻
Nikikumbuka ile fainali daahMpaka sasa zimechezwa mechi 28 huku kukiwa na penalty 4 tu.
Kuweka sawa rekodi, kombe la dunia la mwaka 2022 Argentina peke yake ilikuwa ina penati 5 katika mechi 7
Kama huamini kuwa kombe la dunia la 2022 lilikuwa rigged basi we ni mjinga.
View attachment 3612476
Au sio mkuuMpaka sasa zimechezwa mechi 28 huku kukiwa na penalty 4 tu.
Kuweka sawa rekodi, kombe la dunia la mwaka 2022 Argentina peke yake ilikuwa ina penati 5 katika mechi 7
Kama huamini kuwa kombe la dunia la 2022 lilikuwa rigged basi we ni mjinga.
View attachment 3612476
Tukio gani katika fainali ambalo uliona kabisa mechi hii ni ya kumbeba Argentina.Nikikumbuka ile fainali daah
Umezama ndichi kabisa kuja na taarifaTukio gani katika fainali ambalo uliona kabisa mechi hii ni ya kumbeba Argentina.
Kwangu mimi ni hii penati aliyopewa Argentina baada ya Di Maria kufanya diving
View attachment 3612508
Di Maria ambaye ana rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Laliga kuongoza kwenye diving za kuwahadaa waamuzi lakini refa pamoja na yote akaweka penati hapa licha ya kwamba replay zilionyesha hakukuwa na contact kati ya Dembele na Di Maria.
View attachment 3612509
Tukio lingine la kustaajabisha lilikiwa ni hili.
Kolo Muani alichezewa faulo mbaya na Otamendi na V.A.R iliamua kuwa ni penati.
View attachment 3612510
Lakini maswali yakawa ni mengi.
Sheria ya faulo inasema kumnyima mpinzani nafasi ya kufunga goli (denying a goal-scoring opportunity) hiyo ni straight red card ukizingatia kwamba Kolo Muani alikuwa ni mtu wa mwisho.
Lakini maamuzi yaliyofanyika ni penati bila hata ya yellow card.
Nyingine ni hii controversial ya offside
View attachment 3612526
Hapa ilikuwa Argentina amefunga goli la 3 katika ET time. Ikaonekana kama kuna offside imefanyika na V.A.R ikatuletea picha ambayo ni hii
View attachment 3612518
Picha ilionesha vidole vya Martinel vilikuwa offside.
Goli likasimama kwakile kilichosemwa kuwa mikono haihusiki kwenye kufunga bao hivyo eneo la mkono halitahesabiwa kama offside.
View attachment 3612520
Lakini ukakasi ulikuja pale watu walipoanza kurejea mechi zilizopita kwenye matukio kama haya namna yakivyoamuliwa.
Mechi ya Croatia na Belgium, Croatia walinyimwa nafasi ya kupata penalti kwasababu V.A.R ilionesha tukio la offside katika build up iliyopelekea tukio la penalti.
Sababu kuu ya tukio kuonekana ni offside ni kwasababu ya mikono kuzidi.View attachment 3612523
Hizi controversial ndio sababu tunasema World Cup 2022 ilikuwa rigged
FIFA Princess kafunga hattrick dhidi ya timu ambayo ni ya 28 kwenye rank za FIFA.Au sio mkuu
View attachment 3612511
Mimi naenda kwa detailsUmezama ndichi kabisa kuja na taarifa
Daah ushabiki tunadhidiana we bwana unamkubali Ronaldo 🙌🏾FIFA Princess kafunga hattrick dhidi ya timu ambayo ni ya 28 kwenye rank za FIFA.
The real GOAT alifunga hattrick dhidi ya Spain ambayo ni ya 2 kwenye ranking za FIFA.
Ronaldo anachukiwa na FIFA na sasa hadi na wachezaji wenzake.
Bruno ambaye pale OT wachezaji wote walikuwa wakicheza kwa ajili yake kumtengenezea rekodi ya assist, leo anarudisha mpira nyuma??
View attachment 3612531
Argentina inacheza kwa ajili ya Pessi ona anavyo starehe uwanjani
View attachment 3612533
wanafanya kila kitu hadi Pessi afunge, lakini Portugal wako pale kumdidimiza GOAT.
View attachment 3612533
Yule Malaya wa Joa Neves anasema GOAT ni mbinafsi na minions wa Pessi mmechotwa na kauli hiyo. That's shame
Hizi ni sehemu ambazo alikuwa na 100% za kufunga lakini alitoa assist. Na li Bruno lipo hapo na mimeno yake kama Panya.
View attachment 3612532
Fifa nao wanamchukia Ronaldo
Imagine kwenye poster ya FIFA ya kombe la dunia la mwaka huu, katika kila nchi amewekwa staa mkubwa aliyefanya makubwa kwenye hiyo nchi katika viwango vya juu lakini ilipofika kwa Portugal hawakumuweka Ronaldo.
Kwa mujibu wa FIFA Bruno ndio staa na icon ya Portugal na sio Ronaldo
View attachment 3612540
Nasubiria Ronaldo astaafu nianze kuichukia hii timu
Unamtetea Sana Ronaldo lakini Ronaldo sio mpambanaji uwanjani kama Messi,yaani ukitaka uamini nachokwambia just wait and seeMimi naenda kwa details
Hata hao wanaoniita hater wanelewa naongea kwa hoja ila ni ngumu ku admit kwasababu hili swala haliamuliwi kwa facts ni kwa mahaba.
Haiwezi kutokea kumshawishi Pessi fan akubaliane na hizi facts ila hata hivyo hatuwezi kuacha kujadili ukweli tukidhani kwamba ukweli huo unapaswa kuongelewa pale tu unapotaka kumbadilisha mtu huyo msimamo wake.
Umewaamulia Pro MessiFIFA Princess kafunga hattrick dhidi ya timu ambayo ni ya 28 kwenye rank za FIFA.
The real GOAT alifunga hattrick dhidi ya Spain ambayo ni ya 2 kwenye ranking za FIFA.
Ronaldo anachukiwa na FIFA na sasa hadi na wachezaji wenzake.
Bruno ambaye pale OT wachezaji wote walikuwa wakicheza kwa ajili yake kumtengenezea rekodi ya assist, leo anarudisha mpira nyuma??
View attachment 3612531
Argentina inacheza kwa ajili ya Pessi ona anavyo starehe uwanjani, wanafanya kila kitu hadi Pessi afunge.
View attachment 3612533
Lakini Portugal wako pale kumdidimiza GOAT.
View attachment 3612539
Yule Malaya wa Joa Neves anasema GOAT ni mbinafsi na minions wa Pessi mmechotwa na kauli hiyo. That's shame
Hizi ni sehemu ambazo alikuwa na 100% za kufunga lakini alitoa assist. Na li Bruno lipo hapo na mimeno yake kama Panya.
View attachment 3612532
Fifa nao wanamchukia Ronaldo
Imagine kwenye poster ya FIFA ya kombe la dunia la mwaka huu, katika kila nchi amewekwa staa mkubwa aliyefanya makubwa kwenye hiyo nchi katika viwango vya juu lakini ilipofika kwa Portugal hawakumuweka Ronaldo.
Kwa mujibu wa FIFA Bruno ndio staa na icon ya Portugal na sio Ronaldo
View attachment 3612540
Nasubiria Ronaldo astaafu nianze kuichukia hii timu