Na bado hawa ndugu zake Ronaldo watamtambuaAnaharibu hali ya hewa mapema sana aisee
Leo mimi nipo na Goli zangu 3 zinanitosha usinitafutie balaaUpo nao leo?
😅😅 nachekesha et lolNimecheka sana 😃
Hii sudia na esp nayoiona hapa niaje...Wazembe sana.
Unamkaba Lamine unakaa mita 3 away?
Like serious?
Ni timu yako mkuu?Wazembe sana.
Unamkaba Lamine unakaa mita 3 away?
Like serious?
🤗🤗Umefurahia sana.
Imeisha hii