Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
Jmn leo nani nani
Na muda gani?
Na muda gani?
Kwanini Canada hajaingia 32?Mtoe ghana weka Croatia
Weekend yoooo…mtungi na boliJmn leo nani nani
Na muda gani?
Ni kweli ila figisu figisu mkuu.Naoba promo ya vyombo vya habari kwa Scotland ni kubwaaa.mbona naona kama morroco ana game nyepesi sana leo, ukizingatia performance yake na brazil game iliopita
Duh leo pamotoView attachment 3610894
Leo pamoto kidogo...
Hiyo mechi ya Group D itaamua nani atangulie 32 round.
Hiyo ya Group C pia yamoto japo Morocco ana matumaini zaidi.
Kijana wa 2000 huyu...Jonathan David kaja kazima mjadala wa GOATView attachment 3610999
Best loser inabidi wawe wangapView attachment 3611029
hapa xenos wanahitaji sare na Korea waingie kama wapotezaji bora
wanatakiwa nane ili kukamilisha hatua ya kwanza ya mtoano.Best loser inabidi wawe wangap