adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
Ni moment nzuri sana...big up mkuuNdio hivyo hakuna namna lazima nikae kwenye Makubaliano
Ni moment nzuri sana...big up mkuuNdio hivyo hakuna namna lazima nikae kwenye Makubaliano
Mimi nazifahamu.Za sh 3000 😁
Hapana, au hawazijui seedless? Em waonjeshe leo.. zile chachu unakula hata humalizi meno yote yanastuck
Togwa ya kipare😀Messi hapana...WaJordan watalivagaaa😀😀Messi ni kama Whisky tu,
Jinsi miaka inavyokwenda mbele, ndio anavyo kua bora zaidi.
Algeria wazuri ila uzuri wao sio mbele ya Argentina,Sijaona game. Ilikuwaje wakachelewa kupata magoli, Algeria wazuri nao?
Unaacha kumkaba Messi..wanaruka ruka..kimewakutaSijaona game. Ilikuwaje wakachelewa kupata magoli, Algeria wazuri nao?
Msijisifu sana huyu andunje wenu tunamtekaAlgeria wazuri ila uzuri wao sio mbele ya Argentina,
Huu mwaka sisi Waargentina tupo serious sana.
Nipo na Jordan ...mto wao si ulimbatiza Massiah😀😀Msijisifu sana huyu andunje wenu tunamteka
Mkuu saa moja hij asubuhi sio saa sita😀😀Duh! Kumbe bado kuna mechi ingine inaanza saa sita za usiku!!!
Jordan na Austria.
Wakikutana na braza Messi utawahama hao 😂Nipo na Jordan ...mto wao si ulimbatiza Massiah😀😀
Hapa nilipo sasa hivi ni saa tano na dakika 42 usiku.Mkuu saa moja hij asubuhi sio saa sita😀😀
Kundi la Argentina hilo..Jordan Vs Austria
JF ina member kutoka nchi mbalimbali mkuu,Mkuu saa moja hij asubuhi sio saa sita😀😀
Kundi la Argentina hilo..Jordan Vs Austria