2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Licha ya Uzalendo hawa Argentina hawapo hata kwenye 10 zangu!!

Sijui Ndugu zetu wa karibu kabisa wana Afrika mashariki watafanye hiyo saa mbili usiku dhidi ya Ureno! Wenye uchu na kombe.
Am sorry, me sina uzalendo.. utamsalimia Bissaka, tukishawafunga sawa? 😁😁

Vya Africa naipenda tu Ghana.. ya 2010 niliipendaga sana hadi sasa sijamsahau Asamoah Gyan.
 
Back
Top Bottom