2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1781677545085.png

limebance pia, Cabo Verde huwa wanabahati zao
 
Walah hii kazi ya u-hater nayo ni ngumu jamani

Imagine unaamka unakuta Messi kapiga hattrick halafu roho inakuuma.

Ukisikia mtu ana roho ya kichawi ndio hali hii sasa nayo pitia mimi.

Anyway the real GOAT is on pitch today, I hope my day won't get ruined.
 
More worse it is vs yo fellow East Africans
 
Back
Top Bottom