The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,887
- 117,059
Labda mumteke Hamorapa.Msijisifu sana huyu andunje wenu tunamteka
Labda mumteke Hamorapa.Msijisifu sana huyu andunje wenu tunamteka
Nimekupata Mkuu...sisi wabongo ni saa moja...😀😀JF ina member kutoka nchi mbalimbali mkuu,
Watu wengi humu hua wanaamini kua sisi wote humu tunaishi Daslam,
Wengine tunakomaa na Box na mechi tunaziangalia.
😀😀😀 kichapo si cha Mchezo nakionaWakikutana na braza Messi utawahama hao 😂
Link bass
Aisee nimecheka kwa sauti kali mpaka jirani anashangaa😀😀😀🤣🤣🤣 umemcheki Refa?
Jamaa mwenyewe the Killer...
Mkubwa nimeamini maneno yako..me niliona game ya kutoa drawTimu ya ushindi ni timu ya ushindi tu
Amejikaza sio kama AlgeriaaaAnachezea muda sio mrefu huyo.
0-0
Huko hawezi..huko Teknolojia ni mbele kwa mbele..Ila FIFA kiboka kuna moment tunazimiss sanaa hasa zile za kurusha mipria robo saaaa😀😀😀Huyo alitufanyia uhuni sana pale Unguja
Bora nimelala, sijataka kuendelea kuangalia nikaona Senegal inavyofungwa. Ila kuna kichokozi kimoja bado kikawa kinanitumia sms, nyng nimezikuta asbh 😬Shida nini?