King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Senegal wanapata goli la 1
Bwana wewe mpira ni technical competence and game insight.Mpira pia una mbinu, wanachotuzidi hawa makocha wa Ulaya ni technic,hapo kuna Doue, mbape na Dembele na wote wana speed pia
Wamepaka mpira mafuta sana!Hawa Senegal hii mechi ilikuwa washinde kabisa!
Huyo dogo ananyota na world CupImeisha mbape kafunika jeneza.