Beki wameshindwa kumlinda, si unaona France hawakubali sebukeni kwao kuzoelekeSurprise attack ile ngumu sana
Hajui kukaba, kwa mechi ya namna hii huitaji kuwa na abiria uwanjaniHuyu kocha wa Senegal kwanin alimuacha nnje iliman ndiaye?
Argentina? England? Ujeru?Ufaransa naipa nafasi ya kwanza katika timu zitakazofika fainali na kutwaa taji
Sana. Ila kwangu man of the match ni olise.Huyo dogo ananyota na world Cup