de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,033
- 19,963
Labda karne ijayoHivi kuna siku na sisi tutacheza wedi kapu?
Sidhani aisee
Labda karne ijayoHivi kuna siku na sisi tutacheza wedi kapu?
Sidhani aisee
Ulishawahi kucheza mpira?Senegal ni mazuzu sana.
Angalia tu hata idadi yao ya turnovers!
Kuna nyakati wanawapasia kabisa mpira hao Wafaransa!
Sijui wanacheza mpira wa wapi tu?
Kutoka vikindu naskika hadi ChicagoCamon France funga la pili tumalize biashara
Kwenye kundi lao eeh?Senegal watapita lakini.
Hayo makosa alikuwa anayafanya sana Camara ashatoka.Senegal ni mazuzu sana.
Angalia tu hata idadi yao ya turnovers!
Kuna nyakati wanawapasia kabisa mpira hao Wafaransa!
Sijui wanacheza mpira wa wapi tu?
Ushawahi kutoomba?Ulishawahi kucheza mpira?
Mpira wamechezaIlman anaingia, ila kupata goli mbili hapa ni kipengele
NakaziaKwenye kundi la France atachukua point zoote
Hatari sana, namkubali sanaRyan Cherki anaingia😂😂
*****
Mpira unadunda usijimalizeKwenye kundi la France atachukua point zoote
Hawana nia ya kushinda.Hayo makosa alikuwa anayafanya sana Camara ashatoka.
Ila bado wanapoteza sana mpira.