Ufaransa nimeipa nafasi kabla mashindano hayaja anza.Ngoja tuone
England mtoe na mtupe mbali, hana chake hapaArgentina? England? Ujeru?
Ni dhaifu sana kulazimisha goli, wanaremba mno, na pssi za mwisho hazina machoSenegal anapita kundi jepesi hilo
Aisee kipindi cha kwanza alikuwa hovyo sanaBraza Mbappe tumekosa sisi, tumekosa sana
Wacha perez alie na olise...huyu mchezajiMbappe.
Huyu Dogo anajua kwanini yupo Uwanjani. Ukisikia tu Mbapeeeeeee, kule nyavu zinatikisika.
Hizo Assist za France ni za Moto.
Hata kabla hawajamaliza kushangilia wakajikuta wamerudi kwenye huzuni yao ya mwanzoChumaaaa
Wiki hii Perez anafunga rasmi hili dealWacha perez alie na olise...huyu mchezaji
Punguza pombe wewe jamaamakobaz Iraq wanawenda kukaangwa vibaya mno na halaand
Tuko pamojaUfaransa nimeipa nafasi kabla mashindano hayaja anza.
Bado nasimamia hilo