comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,126
- 16,140
Dstv au sioGame ya aina hii kuisha sare ni kuzulumu kifurushi changu cha 60000
Dstv au sioGame ya aina hii kuisha sare ni kuzulumu kifurushi changu cha 60000
YapDstv au sio
Hii game ni senegal tu wenyewe, kiungo cha france ni kibovu sana, senegal wanahitaji namba 10 tu ambae ni ball carrier mzuriAisee senegal wamekosa goli la wazi kabisaaaaaa makaveli10 unaicheki hii gemu.
o doue labda afunge motor kwwye tako lake ila kwa diatta hapiti ngoooo.Kipindi cha pili mpira utabadilika sana, Dembele na Doue watashambulia sana
🇸🇳🇸🇳Senegal ni must win match 😆😆
Ungelipia bomba 27500 game zote zinaonyeshwaGame ya aina hii kuisha sare ni kuzulumu kifurushi changu cha 60000
Ngoja tuone ila utaona Mbape na Dembele wakikimbia sana kipindi cha piliWakija wanapigwa kwa kaunta.
Senegal wana speed kali
Mpira pia una mbinu, wanachotuzidi hawa makocha wa Ulaya ni technic,hapo kuna Doue, mbape na Dembele na wote wana speed piaHuy
o doue labda afunge motor kwwye tako lake ila kwa diatta hapiti ngoooo.
Huyo dogo afcon alitwanga mechi zote kasoro final na zote dakika 90 kwa kiwango bora kabisa
Tatizo beki za France hazitumii nguvu! zinadokoa mpira zinarudi kwenye line 😤Hii game ni senegal tu wenyewe, kiungo cha france ni kibovu sana, senegal wanahitaji namba 10 tu ambae ni ball carrier mzuri
Tchoumeni na rabiot washachokaHii game ni senegal tu wenyewe, kiungo cha france ni kibovu sana, senegal wanahitaji namba 10 tu ambae ni ball carrier mzuri
Attacking ya senegal inakosa support ya namba 10.Tatizo beki za France hazitumii nguvu! zinadokoa mpira zinarudi kwenye line 😤
Game ya aina hii kuisha sare ni kuzulumu kifurushi changu cha 60000
Pigia mstariTeam Senegal