kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,370
Africa kwanza, Misri anashinda hiiHii game inaweza kuwa draw
Africa kwanza, Misri anashinda hiiHii game inaweza kuwa draw
Wafanye Kazi , maana ni wavivu wa kulimaMbona unawaombea mabaya wenziooo
Kulima pia ni kamariWafanye Kazi , maana ni wavivu wa kulima
Hii ni Topic ndefu inahitaji mjadala mpana zaidi , kwa sasa muda hauruhusu 😆Kulima pia ni kamari
Kila kitu ni bettingHii ni Topic ndefu inahitaji mjadala mpana zaidi , kwa sasa muda hauruhusu 😆
Biashara yote haioneshi changamoto kwenye makaratasi kwasababu huifanyi.
Sahihi sana, ukitafakari sana karibu kila kitu kwenye maisha ni kubahatisha tuu, mtu unafungua duka asubuhi huku ukiwa hujui nani atakuja kununuaBiashara yote haioneshi changamoto kwenye makaratasi kwasababu huifanyi.
Nenda kwenye ground utaona kama uvuvi sio betting.