Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,326
- 7,369
Namuona kabisa Egypt akifuzu piaFT
Spain 0
Cape Verde 0
Namuona kabisa Egypt akifuzu piaFT
Spain 0
Cape Verde 0
Cape Verde watafungwa muda wowote toka sasa
Dogo haujui mpira Kachambue wakina Konde boi 😆Namuona kabisa Egypt akifuzu pia
So sad mkuuNgoja tuone lakini honestly sioni chochote ambacho kitaongezeka akiingia
Cape Verde safi sana...
Eendiwoo lo wamekaza mwamwi!Cape Verde safi sana...
Wale wa over 2.5 mnaendeleaje na hali
Imeondoka na treni nyingi sana hii game ya spain
Ni hatari unaambiwa mtu kastake bajeti ya halamshauriMuhindi na ndugu zake wanafanya Party wakisheherekea hiki kidogo ambacho Mungu kawagea
View attachment 3608623
Ni vilio mkuuImeondoka na treni nyingi sana hii game ya spain
AmenNamuona kabisa Egypt akifuzu pia