Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,229
- 37,482
TANGU KOMBE LA DUNIA LIANZE SIJARUDI NYUMBANI,
Wewe ni kiboko sasaTANGU KOMBE LA DUNIA LIANZE SIJARUDI NYUMBANI,
View attachment 3608677
Bora wewe hirizi ilibana mapemaNiliweka under 2 kwa Spain na Verde..kuna dogo alisema wale Spain kwa gonga gonga zao wanaweza wasipate goli😀😀
Si ndie aliyewafanya waishie makundiiUtopolo hawampendi kabisa
Ikifika saa 3 asubuhi baada ya game kuisha unaenda kazini baadaye ukitoka jioni unapumzika kidogo then saa 1 unaingia kwa Arena kuanza upya tena hadi keshoTANGU KOMBE LA DUNIA LIANZE SIJARUDI NYUMBANI,
View attachment 3608677
Hao mpira wanao ila strategy ndo wanakosaBora wewe hirizi ilibana mapema
Wengine wakafuata ushabiki eti kwakuwa kuna Lamine na Pedri
Tangu Portugal tuchukue ubingwa mbele ya Spain, sijawahi kuona lolote la maana kwenye yale ambayo anasifiwa nayo.
Morroco na South nitaendelea kubagua kwa wivu mkubwa sana.Timu za bara la Afrika zitaendelea Kuchana mikeka yenu maana mnabeti kibaguzi na dharau.
Misri piga hao Ubeligiji
Sio wanajitahidi ila wanajuaMisri wanajitahidi aisee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Morroco na South nitaendelea kubagua kwa wivu mkubwa sana.
Nimebagua hadi Taifa Stars ndio iwe hao?
Sitajipa muda wa kutafakari huu ujumbe wako wala mazungumzo yeyote kuhusu uzalendo
Strategies ni kitu muhimu kwenye mpiraHao mpira wanao ila strategy ndo wanakosa