Man of the match, so far.Kipa yupo powaa,
Mdogo mdogo hadi Spain wapanic.Cape Verde wamekaza lakini wataweza kushikilia bomba ?
Jana ulichomoaaa😄😄😄😄Jana ulihama, ukagongwa...
Ukaukalia... hahahaSambamba na Cabo Verde
Jana ulichomoaaa😄😄😄😄
Hakuna kitu atafanyaMuda wa shoo za dogo Lamine umefika
Mimi ninaamini katika yeye akiingia atafunga au atatoa assistHakuna kitu atafanya
Na akijidai kufosi ataambulia aibu
Yanayowakuta wenzake hayakuwa maalumu kwa ajili yao, akiingia yeye ndio utaona nati zitavyokazwa na kuanza kuona bora angekaa benchi.
Hata bila kuumia sioni Spain kama threat kabisa kwenye hii tournamentLamine ikitokea ameumia kwa huu mpira basi Germany na Belgium wanaitandika Spain bila kelele.
Ngoja tuone lakini honestly sioni chochote ambacho kitaongezeka akiingiaMimi ninaamini katika yeye akiingia atafunga au atatoa assist
Nakubaliana na wewe.Cape Verde wanazingua na kuniangusha shabiki yao
Wanapoteza Mpira kizembe Sana
Kitu cha Kwanza inabidi wafanye juu chini kwenye kumiliki Mpira Kwanza
Then counter attack wanahitaji wachezaji Wenye speed
Hapo wanaweza kupata Sare kama walivyofanya Japan Jana
Ila wakiendelea hivi watapigwa tatu