Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,269
- 5,399
Daaaah, Hili Disco keshaingia Mmasai
Egypt Leo akipigwa chache 4🤣🤣 Egypt...
Anaweza kukaza lakini
5Extra wameongeza ngap
5Extra wameongeza ngap
Spain anatoka kapa hapa, bado france kesho kwa senegalKuna mtu atalia hapa dakika za mwishoni.
Dk 5 za nyongeza
Iko motoHaki ya Mungu hii mechi hata ku blink sitaki