Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,823
- 7,433
Germany dhidi ya curacao ni matokeo yaliyokua yakitarajiwa hasa ukilinganisha ubora wa mchezaji mmoja mmoja kwa kila timuMkuu unaelewa unachokijadili lakini?
Umesema Curacao kapigwa goli 7-1 na ujerumani coz ni underdog,
Ndio maana nikakuuliza kua,kwa hiyo Brazil nae alipopigwa na Ujerumani goli 7-1 kwenye semi final,nae alikua underdog?
Germany na Brazil kisoka na ubora wa mchezaji viko sawa vinapishana kidogo tu hivyo