Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,683
- 130,504
Chezaji letu lipya Cocurella la Madrid unaliona mashuti yake huko?Hajaanza yupo bench
Nipo na Cape Verde...
Mie piaaaahh! Nao sambambaNipo na Cape Verde...
Nataka link,
Nimemuona ,,,,,hatimaye Madrid Imepata mwakilishi kwenye timu ya spainChezaji letu lipya Cocurella la Madrid unaliona mashuti yake huko?
Sasa kama ni link mbona nimekuwekea kwenye post ya kwanza niliyoku replyNataka link,
Nipe jina lake mkuu,
Kama youtube au browser
Chukua na hii kama additionNataka link,
Nipe jina lake mkuu,
Kama youtube au browser
Kipa wao 🙌🏾 ni nomaGo Cape Verde💪💪
Wewe siyo spain kweli? HahahaMie piaaaahh! Nao sambamba
Hapanaaaa leo ulipo nipoWewe siyo spain kweli? Hahaha
Jana ulihama, ukagongwa...Hapanaaaa leo ulipo nipo