Saa 9 usiku mneneNgoja tuwaone...
Game yao ya Saa tano
Wana spidi na ushirkiano hao kama nyukiiKabisa! Tuko excited sana kuwaona Japan...wazee wa strategic football
Sanaaa nawako bien pia Curacao wakae kimastaWanamoto balaa
Mwishoni utanielewa mkuuUko na Curacao? Wewe ni jasiri