2025 FIFA Club World Cup - Special Thread

Ila haya maisha bana. Just Imagine Azizi k. Leo yuko Marekani hapo anacheza na wachejazi wa Epl.
Af Wenzake kina Zoua zoua walikuwa leo Mbeya wanacheza na Tz Prison.

Kweli ya kesho mengi yamefichika.
 
Afrika mpira wetu mdogo sana na ndio maana leo hii vilabu vya Tanzania vinaonekana kwamba vimepanda kiwango kumbe kiwango cha soka ndio kimeshuka sana Afrika.

Nimeona leo Wydad wakicheza kwa kujihami tu ili wasifungwe mabau mengi.
 
Wakuu naomba mtu anieleweshe Mbape Yuko wapi
 
Ebanae, kweli Madrid ni Madrid tu, huu uwanja watu wamefurika kiasi chake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…