Kuna kasumba kwamba wenyeji mechi ya kwanza huwa hawapotezi je kwa qatar itawezekana
Hawa jamaa wameingia moja kwa moja hivi kikosi cha mashindano kweli wanacho wanakutana na equador wasije kupigwa 7 bila mechi ya ufunguzi 😃
Qatar wametengeneza timu yao kwa almost miaka 10 sasa kujiandaa na kombe la dunia kupitia academy yao ya Aspire

2019 kama unakumbuka walichukua ubingwa wa Asia

Hii World Cup nawapa nafasi angalau ya kufika Round of 16
 
Dstv wamezindua leo msimu wa kombe la dunia ambapo watarusha kwenye kifurushi cha Compact ambacho ni elfu 56
77B5806B-BC7C-495E-B722-FFC9CFC19C84.jpeg
 
Back
Top Bottom