Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,555
- 17,947
Kwa wazee wa kubeti zinaonekana kama nyepesi hivi..tia hela sasa
Kwa wazee wa kubeti zinaonekana kama nyepesi hivi..tia hela sasa
Nimefuatilia mpira wake sijuelewa naona wanacheza makirikiri tu uwanjaniMzeee wasema Gambia hakuna kitu????
Kama tff ofisi zao zimehamia kwenye ofisi za GSM unatarajia nn? Waulize GSM wao wanajua maana hata idadi ya wachezaji wao Taifa stars wanaijua. Timu wamejaza wacheza Yope tuKinachonisikitisha ni kwamba zaidi ya nusu ya timu zote zinazoshiriki ni kutoka Afrika ya Magharibi tu (timu 14). Afrika kaskazini kwa waarabu wao wameambulia timu 7, halafu sehemu nyingine za Afrika zikaambulia timu 4 tu : Ethiopia, Commoro, Malawi na Zimbabwe. Afrika ya Mashariki tunacheza mpira gani?
Dah🤣🤣Kama tff ofisi zao zimehamia kwenye ofisi za GSM unatarajia nn? Waulize GSM wao wanajua maana hata idadi ya wachezaji wao Taifa stars wanaijua. Timu wamejaza wacheza Yope tu
Hii siyo conspiracy tu? Miaka yote hata kabla GSM hawajaingia kusponsor ligi hatujawahi, hatujawahi kufurukuta hata kwenye kombe la Kagame (sijajua kwa nini lilitwa la Kagame).Kama tff ofisi zao zimehamia kwenye ofisi za GSM unatarajia nn? Waulize GSM wao wanajua maana hata idadi ya wachezaji wao Taifa stars wanaijua. Timu wamejaza wacheza Yope tu
Kulikuwa na mwanga kwani hata Utopolo waliweza kupeleka Stars wachezaji wenye ushindani mfano Metacha,Kabwili,Nchimbi n.k. ila saizi wapo watatu tu na wenyewe ni hopeless tu kwani kwao Mayele, Aucho na Makambo ndio wachezaji wao na kutoa hela media kumsema Kibu Denis. Hata tukimsifia vipi Mayele na wakata viuno wa kongo hawana faida. Narudia tena Kibu apewe hamasa zaidi kwa faida ya Taifa StarsHii siyo conspiracy tu? Miaka yote hata kabla GSM hawajaingia kusponsor ligi hatujawahi, hatujawahi kufurukuta hata kwenye kombe la Kagame (sijajua kwa nini lilitwa la Kagame).
unaangalia mpira au unapiga ramli?senegal akizubaa anatolewa
nishafuta kauliunaangalia mpira au unapiga ramli?
hapo sawa, CV wanachezewa nusu uwanjanishafuta kauli
uwanja kama umeinamahapo sawa, CV wanachezewa nusu uwanja
huyo ni ball girlMpira unasanitaiziwa na ball boy