Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,956
- 134,035
Hapo red kabisa
Ndio timu gani?
Tupo Malawi leoooo😂😂Morocco tujuane
Maana kadi nyekundu nje njeMalawi waongeze nidhamu katika ukabaji
Huyo Banda mwingine kazi yake ni mfua jezi hana namba hata benchiBanda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye
Utopolo umeingia shiftHuyo Banda mwingine kazi yake ni mfua jezi hana namba hata benchi
VAR haifanyi kazi kwasasa, ngoja tukio litokee golini kwa Malawi sasa😂Hapo red kabisa
Unamaanisha DjiguiHuyo Banda mwingine kazi yake ni mfua jezi hana namba hata benchi
Ulitaka timu iwe na wachezaji 12?Namwona J.Banda tu simuoni P. Banda au Simba tulipigwa?
Atakuwa Djigui tu hapoBanda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye