Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,295
- Thread starter
- #2,101
Malawi nao wanasifika kwa kupuliza, mpira unagonga tena nguzo
Tunabutua sanaKitachotugharimu hatuweki mpira chini
Sio kwa hao warabu.hawakatagi tamaa hao.hiyo style ya malawi imewasaidia hadi sasa maana hao warabu nikama nyuki.Malawi wakiweka boli chini mwarabu anakufa, wanabutua kama Taifa Stars....
Sio kwa hao warabu.hawakatagi tamaa hao.hiyo style ya malawi imewasaidia hadi sasa maana hao warabu nikama nyuki.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app