Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,296
- Thread starter
- #2,061
Malawi wanavyolinda lango lao wananikumbusha Inter Milan ya Jose Mourinho...
Hapa kuna watu watatoa povuBanda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye
Kama mchezaji wa ndani ni jambo la kushangaza hilo ila kama ni kipa sio ajabu maana ukiwa kipa kupangwa ni hadi kipa namba moja aumie au aumweBanda ana Mida Yake Kaa kwa kutulia, Kuna Mcheza Kaitwa Hajagusa hata Pitch Ya Afcon wala Mpira wa Afcon hata wale ball boys wamegusa sana kuliko yeye
Ndio timu gani?Pirathes kule bondeni
Amemaanisha Orlando PiratesNdio timu gani?
Ila hizi namba katika jezi za Malawi...daah
Na kusajili wachezaji magarasa