Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,295
- Thread starter
- #2,121
Golikipa wa Malawi anacheza ligi ya kwao
1-1Dk 3 ni za nini zote hizo
Malawi ni underdog kwa hao jamaa.hana uwezo wakuweka mpira chin zaidi yakuvizia counter.Malawi wasibutue pale wanapopata nafasi ya kumiliki.
Naona Morocco akipigwa la 2 endapo Malawi watatulia.
hapa pagumu sana Moroco wanakuja kama nyukiIla bado nina Imani na Malawi.
Kwa msako hule lazima malawi wangefungwa....morocco wakiendelea na hiyo spirit hii game wanashindaSecond half...Malawi atafanyiwa sana msako
Malawi wamepaki sana, kiasi cha kwamba wamewaruhusu sana Morocco kupanda! Angalia mahali anapocheza Hakimi utasema sio Full backKwa msako hule lazima malawi wangefungwa....morocco wakiendelea na hiyo spirit hii game wanashinda