johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Bila shaka itakua ni nchi hizo mbili tuu.Watakuja hapa dona country au Rwanda na Kenya
Kama tunajivunia kutembelewa na mtu kama Trump basi siwezi tena kujivunia kuitwa Mtanzania!Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa Dunia.
Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.
Mungu awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Rais ni taasisi bwashee!Kama tunajivunia kutembelewa na mtu kama Trump basi siwezi tena kujivunia kuitwa Mtanzania!
Waziri mkuu ndio hivyo hivyo bwashee......kiongozi wa juu!
Hapana Mkuu, siku hizi uraisi umeacha kuwa taasisi. Si Marekani wala Tanzania tu. Kwa nchi hizi mbilli tu, uraisi ungekuwa tasisi wala tusingeongelea ofisi ya raisi kukiuka katiba kimakusudi.Rais ni taasisi bwashee!
Tunaipongeza awamu ya tano ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanikisha ujio huu!Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.
Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.
Mungu awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
unachuki zako tu dhidi ya DTKama tunajivunia kutembelewa na mtu kama Trump basi siwezi tena kujivunia kuitwa Mtanzania!