2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Washukuru Mungu kwamba Trump haingii Ikulu leo na hakuna wa kumlaumu ila yeye mwenyewe. Sidhani kama atarudi tena 2020 kupambana tena na Hillary.
Mkuu ulijipa matumaini Hillary kushinda, naona sasa umehamia 2020 hahaha
 
Trump - 289
Clinton - 218


Source: Fox News

Hillary supporters must be crying right now. Many of the mainstream media lied to you and you were not clever enough to understand that.
 
Damn, that was one hell of a protest vote.

Hongera Trump. The man of the hour.

I guess I have to eat my words with my Heineken πŸ™‚
 
Tuko wengi Mkuu mpaka kieleweke. I hope that maniac won't keep us in suspense for many hours/days.

Don't boo vote!
When they go low, we go high.


This is but a summary of what is at stake...

To win, Trump needs a lot to go right.
To lose, Clinton needs a lot to go wrong.


Sasa katika hii 40% ya latino vote wanayohitaji GOP, how much does Trump has?!
Uchaguzi mtamu huu!...πŸ˜›



Ushindi kama kawa hata jamaa akiamua kuiweka dunia kwenye suspense lakini hana jinsi. WH ataiona kwa mbali tu, hana sifa za kuingia WH.


...hold up platozoom !, ataenda kutoa 'Victory Speech' dear! πŸ™‚


US A huwez kushinda bila minority votes kama mashoga,islams,blacks,immigrants etc
Mbaya zaidi loyal voters wanawake amewakamata huyu mama



Nakubaliana nawe na cha kustaajabisha kuna watu wanapoteza kura zao kwa hawa. Despite GOP's shenanigans HRC is still looking good. On Tuesday night we gonna party all night long but he'll keep us in suspense (I don't know for how long)

No hard feelings. I hope you'll recover soon. Voters have decided and Donald John Trump is the 45th US President and Republicans have retained control of the House and Senate. I know you are still chewing the facts.

You all gave in to the mainstream media to predict to you the outcome of this election, guess what? they were just trying to manipulate the voters with their nasty Analysis and Opinion Polls.

Read the opinion polls but don't trust them much.

I told you that you'll run away from this Hillary's thread. Hillary has congratulated Pres. Elect Trump.

Nice moment to all of you. We are more than celebrating where I am and our celebration will go on for days.

Pres. Obama is probably preparing to get along with Pres. Elect Trump. I believe Pres. Obama will fully cooperate with Pres. Elect Trump during this time of transition until January 20th 2017 at noon.

 
Mi nawasalimia tu
 
Lord bless America...
As African societies ,We must learn about changes...an take action for the coming election within our countries .congrate to Mr.Trump
 
Kuna wadau humu hasa kwenye huu mnakasha waliwahi kupost kuhusu Donald Trump kama zinavyosomeka.

Don't put your money on Trump, you will lose!. Hillary would be a much better President than Trump!.

Trump ni kichaa! Mwendawazimu kabisa.

Natamani huu uchaguzi ungekuwa hata kesho ashindwe na apotee kabisa.





Trump amewekwa Syndicate ili Democrats washinde ndo maana mnamwona akizusha jambo baada ya siku mbili anaomba msamaha kuwa alikosea


Hata akishinda Florida na akashindwa PA na OH, bado hawezi kushinda.

Na natabiri atashindwa vibaya mno.

You watch..

Hana jipya waliokurupuka kumsapoti wanaanza kumchoka. Jamaa anaonesha kama tapeli. Hata huo utajiri wake ninawasiwasi kama anao kweli. Atoe tax return yake ionekane.

Mimi nasubiri jinsi Trump atakavyo geuka a laughing stock....after election..
naona kutakuwa na so much fun ya kum ridicule tu....

 

Ma nigga...hats off to you.

Even I couldn't envisage such a win.

You, Trump, and others on the Trump train definitely saw something that the majority of us didn't see.
 
Upepo ulivyoanza kubadilika wakasema hivi.

Wameamua Kukaa kimya? Oh wow!

It's a surprise, not with Trump. He really decided to act Presidential this time.
Unless they're saving it for a later use, you'll never know with the Donald.


Teh!, precisely my thoughts.

They're probably waiting for the eleventh hour. And I think this's their biggest weapon so far, bigger than the email scandal.
They might roll this out when they're stuck, and as you said, around that time.

Hillary ni mgonjwa.

Na naamini kabisa bila kuwepo kwa video ya tukio la jana watu wangefichwa.

Uzuri au ubaya tupo kwenye zama za 'citizen journalism' na 'smart phones'.

Watu wapo na kamera zao tayari tayari kunasa kila kitu.

The only way for Trump to stay away from Hillary's health issue is for OP to portray a picture that they are winning in many battleground states.


Mimi nilisema mapema tu kuwa Rais wa Marekani atakuwa Bibi Clinton.

Huyu chizi Trump hawezi kupata kura za "minority" hasa Wamarekani Weusi na Hispanics.

Tuombe iwe hivyo Mkuu maana huyu racist kuingia WH siyo tu ataisambaratisha US bali dunia nzima.

Mkuu BAK,

Huyu Orange Racist hawezi kuwa Rais bila kupata kura za "non-whites". Never!

Hispanics wanazaliana kuliko weupe. Na hawa wengi ni wapigaji kura wa Democrats pamoja na Wamarekani Weusi.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…