2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Expected audience of 100 million!, woi!
Kama super bowl, or even more. Hopefully Hillary will come out a winner, as they say, debates are supposed to reward those with expertise.

It's good that she has an advantage of whites college educated and women, plus the minority vote.
Kui Hillary Rodham Clinton.
Nakuombea usije kupata `stroke`.

Vipi trend ya opinion polls?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Yes just like Superbowl, I hope her experience will see her through by a big margin.

Expected audience of 100 million!, woi!
Kama super bowl, or even more. Hopefully Hillary will come out a winner, as they say, debates are supposed to reward those with expertise.

It's good that she has an advantage of whites college educated and women, plus the minority vote.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kui Hillary Rodham Clinton.
Nakuombea usije kupata `stroke`.
Vipi trend ya opinion polls?

Haha!, tusubiri tu kuapishwa Rais wa kwanza mwanamke USA...lol

Polls zinaonekana vizuri upande wa Hillary, na hopefully zitaongezeka akimcharaza the D kwenye debate baadae leo. Subiri kumuona Trump atakavyokuwa anajikanyaga wakati Hillary atakuwa anamchora tu...can't wait! 😀
 
Monica Lewinsky atakuwepo ukumbini, wivu utamtoa hillary kwenye reli.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Monica Lewinsky atakuwepo ukumbini, wivu utamtoa hillary kwenye reli.

Hahaha, Jogi Hawamuweki Monica bwana, walitishia kumuweka yule mwingine lakini sidhani kama watafanya hivyo. Unaona Trump wenu asivyo na uvumilivu, alipanick akatishia hivyo baada ya kusikia Mark Cuban atawekwa front seat. He's such a wimp.
 
Naam tunasubiri kwa hamu sana January 20, 2017 (kama sikosei) kuapishwa kwa mwanamke wa kwanza kama rais wa Marekani katika miaka 240 ya US kuwa huru. Akimcharaza Trump leo itakuwa bomba sana na OP zikianza kuweka gap kubwa labda double digits Trump atageuza kibao na kuamua kwenda low, shuhudia jinsi atakavyowatumia akina Gennifer Flowers, Monica Lewinsky etc kuwachafua akina Clinton.

Haha!, tusubiri tu kuapishwa Rais wa kwanza mwanamke USA...lol

Polls zinaonekana vizuri upande wa Hillary, na hopefully zitaongezeka akimcharaza the D kwenye debate baadae leo. Subiri kumuona Trump atakavyokuwa anajikanyaga wakati Hillary atakuwa anamchora tu...can't wait! 😀
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nationally Bibie Anaongoza, Trump yupo nyuma kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam tunasubiri kwa hamu sana January 20, 2017 (kama sikosei) kuapishwa kwa mwanamke wa kwanza kama rais wa Marekani katika miaka 240 ya US kuwa huru. Akimcharaza Trump leo itakuwa bomba sana na OP zikianza kuweka gap kubwa labda double digits Trump atageuza kibao na kuamua kwenda low, shuhudia jinsi atakavyowatumia akina Gennifer Flowers, Monica Lewinsky etc kuwachafua akina Clinton.

Yeah, this's true BAK.
He's going to go as low as he can akizidiwa, when you think about his temperament. Lewinsky, Flowers and he just added one more weapon on his list. "9 11/2016"

Lakini na yeye je?!, infidelity with 3 marriages, misogynist, and so on...
 
Let's be objective...hii audience ya 100 million kwa kiasi kikubwa [kama hata ni kweli itakuwa hiyo idadi] inavutwa na Donald Trump.

Sidhani kabisa kama angekuwa Jeb au Kasich wangekuwa wanabishana na Hillary ungepata hiyo idadi.

Lakini pia ambalo haliingii akilini, huyu Hillary na Donald ndo wagombea wa vyama vikuu ambao hawapendwi na idadi kubwa ya watu.

Kwangu yeyote kati yao atakayeshinda Marekani ndo itashindwa.

Sasa iweje hawa wagombea waweze kuvuta idadi kubwa ya watu namna hiyo?

Binafsi sidhani kama watu 100 milioni watawaangalia hawa watu wakibishana.

Wote wagonjwa...mmoja mgonjwa wa akili mwingine ugonjwa wake hata haueleweki ni nini lakini ni mgonjwa😀.

But here we go...let's see of the whole thing lives up to its billing.
 
Yale vs Wharton
 
Hahahaaaaa hawa watu [Donald na Hillary] wanachekesha sana.

Tayari wako kwa steji😀.

I have no idea what to expect tonight....

But here we go....it's on.
 
Back
Top Bottom