BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #41
Tatizo lako la kuandika vitu kwa dhana eti naandika huku nimekunja uso Hahahahaha lol! Ungekutana na mtu anayenifahamu mimi na kumwambia mimi ni mtu wa kukunjakunja uso angekushangaa sana na kukwambia labda unamuongelea mtu mwingine si huyu ninayemfahamu.
Pamoja na weusi na Latino kutokuwa wengi, lakini unapopata 90% ya kura za weusi na Latino na labda 55% ya kura za wazungu KAMWE huwezi kushindwa kwenye uchaguzi.
Huwezi kutegemea kilichotokea kwenye primary election ya GOP kutokea tena kwenye general elections. Jaribu kufuatilia CNN au kwingineko ili uelewe badala ya kukurupuka. Haijawahi kutokea katika historia ya chaguzi za Marekani mgombea kupingwa na watu wa chama chake kama anavyopingwa Trump.
Fuatilia ili uelewe kinachoendelea.
Washington Post: Breaking News, World, US, DC News & Analysis › the-fix
Mobile-friendly - Aug 28, 2013 -Ninety-three percent of black voters supported President Obama in 2012, exit poll data show. By comparison, just 39 percent of white voters supported a second term for the president.
Latino Voters in the 2012 Election.
Obama 71%; Romney 27%
By Mark Hugo Lopez and Paul Taylor.
Latinos voted for President Barack Obama over Republican Mitt Romney by 71% to 27%, according to an analysis of exit polls by the Pew Hispanic Center, a Project of the Pew Research Center.Nov 7, 2012

Ungenisoma ungenielewa, ila kwa sababu ya tabia zako za kuandika maoni ukiwa umekunja uso katu huwezi kuwa tayari kupokea mawazo yanayokinzana na ukitakacho.
Unaposema kwamba. Unapoyaandika hayo unayoyaandika hayo uliyoyaandika umepata kujiuliza kuhusu population ya ha watu weusi ipoje? na hao watu weusi unaowaonglea unataka kutuambia kwamba lao ni moja and they are not divided? Swali la msingi ni kwamba kama hana huo uwezo unadhani amefikaje hapo alipofika wakati nguvu kubwa sana ilitumika kumuangusha kwenye primaries.
Kunjua sura ili usikilize, usome na urespond maoni ya wengine ukiwa kati hali ya flexibility mkuu. Otherwise unajitahidi vizuri kuwasilisha kile unachokiamini kasoro kubwa una hard feelings juu ya watu wasiokubaliana nawe.