Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,080
- 136,560
Barbra Streisand
The iconic singer may be headed down under.
Streisand told "60 Minutes" in Australia that she was worried about the election results.
"I'm either coming to your country, if you'll let me in, or Canada," she said.
Hahaaaa hao celebs wanasema tu.
Nina uhakika hata kama Trump akishinda hakuna atakayehama maana hawajaanza leo kutishia nyau.
Hata 2004 baadhi yao walitishia hivyo kama W angeshinda na akashinda na hakuna aliyehama.
Yaani mtu uhame US kisa Trump ndo kawa rais?
Ngumu sana hiyo aisee....wanapenda kuongea tu hao.
.