2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Mjue kelele za ubaguzi zinavyozidi ndivyo wazungu wanakuwa united now than ever, Hillary atachabwa kiboko cha kibaguzi maana kura za binadam original hazitafua dafu.

Kwa maana anaside nao kwa mtazamo.

Nitasimamia kura za Trump.
 
Kwa hiyo mjadala wa urais wa Marekani kwa hivi sasa umehamishiwa kwenye visimi? Serious!!
Vidimi vinakwenda kuamua mshindi wa urais wa Marekani!!!!
 
Sasa kama wanadhani kwa kujitoa kum support ndiyo wanamkomoa basi hiyo imekula kwao, maana hapo looser ni Republicans siyo Trump. Democrats wanachekea kwapani ili wasionekane kuwa wanawacheka Republicans kwa jinsi wanavyo wasaidia.
Na kama Trump hatashinda safari hii, basi Republicans wasahau kabisa kuja kutokea kusimama na kushinda nafasi ya urais wa Marekani.
Uchaguzi huu umebeba hatma ya Republicans.
 
Reactions: BAK
Wengi waliomua kutoendelea kumsupport huyu maniac wamefanya hivyo ili kulinda integrity na reputation zao na za GOP. Ni ngumu sana kuendelea kumuunga mkono mpumba.vu kama huyu ambaye anaruhusu bintiye aitwe "piece of ass" na kauli zake chungu nzima za kuwadhalilisha wanawake, wahamiaji n.k.

 
Samahani wakuu naomba niulize kitu. Hivi mfumo wa uongozi wa marekani una vice-president na prime minister? Na kama wapo, mbona kila siku tunashuhudia political popularity na maamuzi mengi yanafanywa na Mr. President pamoja na state secretary ? Sijajua hawa watu wawili wana-occupy role zipi pale marekani sanasana kwenye global politics. Msaada pliz (I understand that I am still wet behind the ears on the issues of international politics and history)
 

Mkuu, raisi wa Marekani ndiye humteua waziri wa mambo ya nje au secretaty of state ni mtu wa juu kabisa baada ya raisi kwa utaratibu wa uongozi wa Marekani.

Akiteuliwa waziri huyu, anathibitishwa na bunge au senate na anakuwa na wajibu wa kumshauri raisi juu ya masuala yoyte yanayohusu sera ya mambo ya nje ya Marekani.

Ni mmoja wa watu wanne muhimu kabisa kwenye baraza la mawaziri wa serikali ya Marekani yaani yule wa fedha, ulinzi na mwanasheria mkuu wa serikali.

Ukimwona Obama anazungumzia hali fulani kuhusu Syria basi ujue ni katika kutoa msisitizo kuhusu jambo Fulani lakini anaesafiri na kuzunguka dunia kila mara ni secretary of state.
 
Reactions: kui
Donald Trump anajiandaa kutema cheche kali kabisa kuwahi kutokea katika kampeni za uraisi chini Marekani.

Muuliza maswali anaitwa Anderson Cooper ambae anatoka CNN na itatupwa shilingi na atakaeshinda anakuwa wa kwanza kuulizwa suali.

Cooper atakuwa akishirikiana na Martha Raddatz wa ABC na watu wengine arobaini wameteuliwa kuuliza masuali yao kwa wagombea hawa wawili kwenye ukumbi wa chuo kikuu cha Washington kilichiko St Louis.
 


I think Hillary ndo ataanza kuulizwa swali.
Huyu Trump better be careful na cheche zake zisije mrudia, na hivi kajeruhiwa, atakuwa mbogo leo.
 
Anayeanza na aanze tu ni wakati wa Trump kuomba msamaha na jinsi gani afanye ili huu upuuzi ulioanikwa usijadiliwe tena.

Sent from my SM-T810 using JamiiForums mobile app
 
I think Hillary ndo ataanza kuulizwa swali.
Huyu Trump better be careful na cheche zake zisije mrudia, na hivi kajeruhiwa, atakuwa mbogo leo.

Leo panachimbika hapo Washington.

Sasa hivi kwa saa za St Louis ni saa 12 jioni.
 
Reactions: kui
Ila Trump ana guts kweli.

Yaani pamoja na utata wote huu bado atajitokeza kwenye mdahalo?

Daaah!
 
Leo panachimbika hapo Washington.

Sasa hivi kwa saa za St Louis ni saa 12 jioni.


Hii ya leo naona ni one of the most anticipated debate, vile watu watataka kumsikia after his terrible weekend.
Lakini ana moyo, to face people after that mishap.
 
Amewaita wale wote wanaounga mkono ang'oke ni traitors and hypocrites.

He is something else!

I honestly thought this controversy was it.

That he was going to step down as the nominee.

Evidently I was wrong.

The man is bound and determined to stay put till the end.

Wowzers!!!!
 
Hii ya leo naona ni one of the most anticipated debate, vile watu watataka kumsikia after his terrible weekend.
Lakini ana moyo, to face people after that mishap.

Na hiyo inaweza play with those undecided voters.
 
He is something else!

I honestly thought this controversy was it.

That he was going to step down as the nominee.

Evidently I was wrong.

The man is bound and determined to stay put till the end.

Wowzers!!!!

This will be his night.

He is moving for the kill.

But Clintons are lying in wait to sting on the tail.
 
Bill Clinton confirmed atakuwepo pia, jana alidhaniwa kuwa angeweza ku miss.
Tutaona the way Trump will go after him.

Mdahalo wa leo shughuli pevu.
 
Bill Clinton confirmed atakuwepo pia, jana alidhaniwa kuwa angeweza ku miss.
Tutaona the way Trump will go after him.

Mdahalo wa leo shughuli pevu.



Trump yuko njiani kuelekea St Louis, hapa akiwa ndani ya ndege yake akijadiliana na Giuliani na Priebus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…