2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

nabadoo lakinooo raisii clinton
 
Attachments

  • FB_IMG_1478660374558.jpg
    FB_IMG_1478660374558.jpg
    36.4 KB · Views: 31
  • FB_IMG_1478660368072.jpg
    FB_IMG_1478660368072.jpg
    34.9 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1478660359978.jpg
    FB_IMG_1478660359978.jpg
    35.7 KB · Views: 31
I have nothing to fear.
vijana wa tz mloojificha marekani huko najua wengi mnamlilia huyo mama ili akiingia madarakani aendeleze zile sera za obama za kuwalinda wahamiaji wanaoishi USA hovyo hovyo
Huyo Trump akiingia atawapukutisha wahamiaji haramu wote

USA sasa inaenda kujenga heshima na kuwa taifa gumu kuingia hovyo hovyo kama England kulivyo kugumu kuingia

Na sera ya Donald Trump ndio hiyo kupunguza wahamiaji haram
 
Hillary Clinton anaelekea kushindwa uchaguzi, US bado imekumbatia mfumo dume, bado kuongozwa na mwanamke pamoja na kujisifu kuwa ni mabingwa wa demokrasia!
 
vijana wa tz mloojificha marekani huko najua wengi mnamlilia huyo mama ili akiingia madarakani aendeleze zile sera za obama za kuwalinda wahamiaji wanaoishi USA hovyo hovyo
Huyo Trump akiingia atawapukutisha wahamiaji haramu wote

USA sasa inaenda kujenga heshima na kuwa taifa gumu kuingia hovyo hovyo kama England kulivyo kugumu kuingia

Na sera ya Donald Trump ndio hiyo kupunguza wahamiaji haram
Nakwambiaje

Hugo Trump Labda awe rais WA African lyon
 
sio mbona kama ni

TRUMP NDIYE RAISI kama uliplan kuzamia USA bora uolewe hapahapa bongo

TRUMP sio mtu wa mchezomchezo yani uwachagulie watu ccm halafu ukimbilie nchi za watu
HAHAA RAIS CLINTON HAYA MANENO BAKIZA SPARE
 
Back
Top Bottom