Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Kwa nini bongo matumbo yawe joto?
Mmempigia nani kura kwani?
Ngabu,you too clever to waste your time on those petty issues!achana nao...Hivi mnachohofia kuhusu Trump ni nini hasa?
Lini na wapi alisema atawaswaga wahamiaji wote?
Waafrica wengi waliovamia huko wanaogopa kurudishwa kwao kwasababu wanajua trump akiingia hawana chao hhh
sio mbona kama ni
TRUMP NDIYE RAISI kama uliplan kuzamia USA bora uolewe hapahapa bongo
TRUMP sio mtu wa mchezomchezo yani uwachagulie watu ccm halafu ukimbilie nchi za watu [emoji23] [emoji23]
Clearly hawaujui na ndo maana walidanganyika kirahisi na zile habari za satire kuhusu TrumpHivi nyie mnaufahamu kweli mfumo wa utawala wa Marekani?
Mama akishinda anashinda ev chache na trump akishinda anashinda ev nyingi..Florida shughuli imeisha.Trump amechukua
GA sidhani kama itaenda Dems.
Latinons sio majority ya population huko.
Ni Bubba tu [Southern boy] tu ndo aliyeweza kuibeba 1992.
Senate Races:
Democrats leading in 34 and GOP leading in 30, GA is leaning to Trump.
Ngabu karibu Gwantanamo mkuuHivi mnachohofia kuhusu Trump ni nini hasa?
Lini na wapi alisema atawaswaga wahamiaji wote?
sasa hivi hapa triumph si anashinda...?!blabla nyingi wekeni nani anaogoza na kwa % ngapi?
Kumbe mnaipenda USA eeh.....hatuapiga Ila si unajua wengine sie washabiki wa siasa ht zisizotuhusu...
inapendeza kuona yule unayemtamani akishinda