afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
nine eleven today .😳Usihofu ushindi WA clinton
nine eleven today .😳Usihofu ushindi WA clinton
Mwenzetu unaishi sayari ipi? Marekan aistawishe tz?Sipati picha combination ya Trump na Magu kwa ustawi wa Tanzania!!!
Hahah... I can feel unavyojisikia hapo uliponine eleven today .😳
sema tu jamaa hakuwa kwenye systrm kama mwenzake hivyo lugha ya kisiasa alikuwa haiwezi vzrNilisema asilimia kubwa ya wamarekani wanamkubali trump na idea zake sema ni vile tuu wanaogopa kumsapoti moja kwa moja so walilikaa kimyaa
Mkuu unatumia experience yako ya bongo unaipeleka Marekani wewe ni nomaHayo matokeo yatageuzwa soon hyo ni katika kumfanya trump aone kuna haki then mwishon wanakata kichwa, yaan ataona tu zile ambazo hazijahesabiwa anapewa tu clinton. Huu uchaguzi clinton ndo rais
Kwa kweli nimeanza kukata tamaa kama mama atashinda.......ni miujiza tu sasa, Ohio yuko nyuma sana sasa.....too bad my mama.....something special need to be done right away for her.....I dont know.....
Sera za Marekani zina influence kubwa sana kwa nchi nyingine ndio maana unaona nchi nyingi zimekodoa macho kujua nani Rais wa Dunia.Mwenzetu unaishi sayari ipi? Marekan aistawishe tz?
Mhamiaji halali yeyote yule hana sababu hata moja ya kuhofia.