Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,348
- 144,917
Hivi mnachohofia kuhusu Trump ni nini hasa?sio mbona kama ni
TRUMP NDIYE RAISI kama uliplan kuzamia USA bora uolewe hapahapa bongo
TRUMP sio mtu wa mchezomchezo yani uwachagulie watu ccm halafu ukimbilie nchi za watu [emoji23] [emoji23]
Lini na wapi alisema atawaswaga wahamiaji wote?