Maybe that's my fate.Miss, you have to recheck your 'betting' principles, as far as i can remember, you always fluff!
Clinton anaongoza Minessota kwa 84%
We nae uko nyuma mama C???Jamani mama afikishe japo 30 basi?[emoji24]
hahahaa...trump alikuwa against corrupt and rigged system,ngoja akabidhiwe mibaNgoja aje amnyooshe yule anaonga wabunge huko.
Mbona alikuwa mzuri tu,nini kimemfanya kama paka mzee?View attachment 431378View attachment 431379donald trump enzi za utoto na ujana
Kwa maneno inaonyesha how powerful putin is!!!Lakini hata utawala wa Obama uliishutumu Russia na Putin kuwa wanaingilia mchakato wa Urais huku ikiwa wanamuangamiza Clinton.Hayo ni maneno yao si yetu.
Then hata Trump alihamasisha Russia iendelee kuzianika email za Clinton hadharan.
Kama umefuatilia BBC,Yahoo news hayo yapo kuhusu uhusiano wa Putin na Trump hadi kufikia Putin kutangaza uwezekano wa vita kati ya USA na Russia iwapo mama Clinton atashinda kiti cha Urais.
zip hizo mkuu ?Hayo matokeo ni ya Red state yaani ngome ya Republican bado ngoma ni Mbichi ngoja upepo unaanza kubadilika wakianza Blue states na Swing States
Ndivyo nilivyo mkuu.Afadhali wewe sio mnafiq.
Ndio umetoka usingizini au?Hayo matokeo ni ya Red state yaani ngome ya Republican bado ngoma ni Mbichi ngoja upepo unaanza kubadilika wakianza Blue states na Swing States
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walaaah Zamda mimi,huku Magufuli,kule Trump,pembeni Vladmir..mbona tutanyooka jamaniiiKwa hiyo unataka tupelekwe utumwani?
She's a monster!! Let her go to hell...Jamani mama afikishe japo 30 basi?[emoji24]