Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Hehehe.... Angekuwa mbele kwa kura ungefurahi eeh!!?mnaniboa mnavyomwita mbibi...
Hehehe.... Angekuwa mbele kwa kura ungefurahi eeh!!?mnaniboa mnavyomwita mbibi...
Hilary aende tu Kwa mumewe apumzikeHILARY 209, TRUMP 238
hao politician wametusaidia nini?He won't be a good President because he is not politician.... Kutakua kuna vitu vinaleta shida kidogo
Hahahaaaahivi huko kuna JECHAA
Pennsylvania for Trump
alimuua nani mkuu??Mama huyu sio mtu ni mnafiki..muuaji na mtu hatari sana sana hana maana
Pro Clinton umemtosa dakika za mwisho!Jingine ambalo huwa nalizungumzia kila mara ni hili la kushinda debates.
Nadhani sasa watu wataanza kunisikiliza....
aisee amepindua ameanza kuongoza. akichukua hapo game imeisha. kura zilizohesabiwa 84%Looks like Trump is still in play in Pennsylvania! Wow... What a night!
hahahhaah kuna watu walijiapiza humu tuweke na akiba ya maneno.Nyani ngabu waiting for trump to be announced
View attachment 431348
inaonekana alitumia polls za cnn kutabiriAmefanana na yule mchungaji aliyekuambia utapona then uponyaji ukayeyeka😀😀😀😀😀Hawa wataalam wa dini wanatumia akili ndogo sana kuiba ufahamu wa watu aisee.
Mkuu ni 254 vs 209.....check fox Fox News238-for donald trump,209-for hillary huu mchezo hauitaji hasira .
Donald Trump doing a Leicester!