2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Mkuu Tyta haijatangazwa rasmi kama Trump kachukua pamoja na kuwa anaongoza kwa 95% ya kura zimeshahesabiwa.
HALAFU KUNA UKAKASI KWENYE HIZI MEDIA..Kuna baadhi zinaonesha Mwanamama yuko mbali,wakati nyingine zinaonesha Trump anaongoza...
 
Kwa hali ya matokeo yanavyoendelea kutangazwa clinton nafasi yake inazidi kuwa finyu na Trump anazidi kujipatia nafasi nzuri ya ushindi wa kuwa rais mpya wa marekani.ole sonyinka alisema Trump akiwa rais anachana green card yake na kuondoka marekani ma baadhi ya matajiri wanisema wanahama marekani tusubiri tuome je watatimoza ahadi zao?
 
Back
Top Bottom