MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,370
AAyyyaaaahh Kumbe. Ngoja nitulie kwanza mpaka yageuke tena.Mzee unaREFER wapi, mambo mbona yameshageuka???
AAyyyaaaahh Kumbe. Ngoja nitulie kwanza mpaka yageuke tena.Mzee unaREFER wapi, mambo mbona yameshageuka???
Zile taarifa za florida republican kushinda zilikuwa ni za uongo mkuu???Mkuu Tyta haijatangazwa rasmi kama Trump kachukua pamoja na kuwa anaongoza kwa 95% ya kura zimeshahesabiwa.
Hizi updates wanatoa TBC mbona wanachelewaJust in From BBC....hahahahaha
![]()
Pipoz bwana,aanze na Tanzania kufanyaje?kutunyoosha nini?tunae Rais imala kuliko unavyofikili,na anaonekana.we unasema Trump aje hapa kutunyoosha kitu gani??Ningependa Trump aanze na Tanzania akishinda urais, aje atunyooshe tunyooke sawa sawa
TB Joshua ni mpiga RamliWapi mtabiri nabii TB Joshua?
Ngabu una uhakika?Wisconsin goes Trump.
Blue wall imetobolewa!
Trump 232 EV.
38 EV away from the presidency.
Haha, sawa mkuu. 😀
Tayari Trump ameshinda FloridaZile taarifa za florida republican kushinda zilikuwa ni za uongo mkuu???
Ndo maana mimi nafuatilia "blended source" JF baby!! [emoji12] [emoji12]HALAFU KUNA UKAKASI KWENYE HIZI MEDIA..Kuna baadhi zinaonesha Mwanamama yuko mbali,wakati nyingine zinaonesha Trump anaongoza...
HALAFU KUNA UKAKASI KWENYE HIZI MEDIA..Kuna baadhi zinaonesha Mwanamama yuko mbali,wakati nyingine zinaonesha Trump anaongoza...
aendelee kutawarajiwa hivyo hvyo
Trump ataukosa urais kaka electoral committee haitampa urais. We relax ujionee mchezo. Japo moyoni natamani huyu zee aukwae nijionee maajabu yake ya utawala.
Mbona umemsahau MZEE JUMAha ha ha kasheshe hii!
Uwiiiiiiii!
Huo upuuzi uko bongo tu, nimeona jamaa wamevaa tishirt za trump ktk vituo vya kupigia kura,
Matokeo live... ikiwa bado majimbo 13
Trump 193
Clinton 197