Don't rise my bpTRUMP ANAONGOZA
haaaaa lols.....Kina ngabu nao
![]()
Tetesi sio? Sasa hongera ya nini?Si mda mrefu Lubuva wa Marekani atamtangaza rasmi Donald trum kumrithi wa Obama hii inatokana na jinsi gan mka muda huu Trump kumuacha kwa mbal sana Hillary licha ya kubak sehem chache ya matokeo ambayo hayawez kubadilisha matokeo Trump 168 Hillary 106 matokeo ya wajumbe ambapo Trump amekiza wajumbe 102 ili atangazwe kwa wajumbe 270 huku Hillar akidaiwa wajumbe 164 kuchukua kiti kww wajumbe 270 .kwa zilizo pending ni waz Trump kashinda hasa matokeo ya Kalfonia yakitoka
Mweleweshe mkuu! Aache kumezajumla ni kama 538 hivyo mwenye 270 anashinda.
mimi ni mfuas wa Trump ila naona kama uzi ushaanza kujaa matango pori[emoji15] nafikir ungeweka pichaClinton 131
Trump 197
Obama aliwambia mkipiga kura kwa gary jua umempigia trumpYule Gary Johnson kachukua kati ya 2% na 4% katika baadhi ya states ambazo kama angejitoa zingeenda kwa Hillary na hivyo kumpa ushindi katika baadhi ya states ambazo tofauti ilikuwa ndogo sana.
Hapana mkuu haitaji Florida kushinda na ameishaipoteza naona,still she can win this ila asipoteze Wisconsin or Michigan na inavyoonekana New Hampshire is a must sasaAnahitaji sana FL sasa, good thing amechukua Virginia.
trump 168, clinton 109Trump 168 Clinton 131
badili channel . Ingia Aljazeera.mimi ni mfuas wa Trump ila naona kama uzi ushaanza kujaa matango pori[emoji15] nafikir ungeweka picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kina ngabu nao
![]()