Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 7,029
- 9,275
wee hayo umezapata sa ngp, bimkubwa ameshasogea mpka 138 bhana, kama uwe ureport tuachie washanta
wee hayo umezapata sa ngp, bimkubwa ameshasogea mpka 138 bhana, kama uwe ureport tuachie washanta
ATAKUWAWhat hell is this? Yaan trump awe rais wa US? Naiona ww3
Unajibu na kuongea usichokijua, fatilia kwanza utajua amemaanisha nini kusema race to 270Ulisomea hesabu wapi hivi kweli hizo 131+168 tunapata uwiano Wa kura 270
Nimekuelea mkuu kumradhiWeweni ********...angalia vizuri....
It ain't over till the fat lady sings...
Florida mikononi mwa democratic
Ndio unaamka?? Kunywa chair uende job Mkuu Magu sio wa mchezomchezoTrump anakaribia "kukubali matokeo"
mkuu nafikir hujaelewa 270 iko vp hvyo haina maana ya kumkosoa mwenzio ila ulipaswa uulize ueleweshweUlisomea hesabu wapi hivi kweli hizo 131+168 tunapata uwiano Wa kura 270
Mkuu jumla sio 270 bali anaepata hiyo hakuna anaeweza mfikia maana jumla ni kama 538 hiviUlisomea hesabu wapi hivi kweli hizo 131+168 tunapata uwiano Wa kura 270
na LumumbaMugabe, Museven, Kagame matumbo joto
Mpwaaa awaziii uraisiii zilehelaaa zakampenii anarudishajeNaona Mama anaipoteza nchi.. Ananyang'anywa tonge mdomoni hahaha
Si ungetuambia ata kwa haraka nan anaongoza
Naona Mama anaipoteza nchi.. Ananyang'anywa tonge mdomoni hahaha
Bado mapema sana, trump hawezi kuwa rais wa marekan NEVERRWhat hell is this? Yaan trump awe rais wa US? Naiona ww3