Immortal_MH
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,240
- 2,252
Mama tayar anaangukia pua
Uko nyuma weweWewe unaangalia tv gan
Mama ana 109
atakuwa kama huyu wa hapa kwetu....nimemsahau jina!Hadi sasa Clinton kabwagwa, subirinu confirmation. Inanikumbusha Bush vs Kerry. Lots of celebrities walijitokeza kumsapoti Kerry mwishowe akashindwa. Anyway Trump will be the worst president there ever was
okay...sasa nimeelewa kumbe mgombea urais anahitajika kushinda majimbo 270?
Naona Mama anaipoteza nchi.. Ananyang'anywa tonge mdomoni hahahaMkuu..
Mama Clinton anahemea mashine..
Hahahahaaaa..kamwe awezi kupewa nchii
Ulisomea hesabu wapi hivi kweli hizo 131+168 tunapata uwiano Wa kura 270Mama kashinda colorado..now mama131 na trump 168..race to 270
Ndo hapo nami napapigia hesabu...Ni lazima achukue Florida ili kuongeza matumaini Mkuu, bila Florida shughuli itakuwa nzito sana.
so hizo 270 ni nini?
Mkuu labda nikuulize majimbo projected ya blue yaliyokwenda red, na pia yale ambayo ya kugombania lipi trump kachukuahii sio uefa mkuu
Itakuwa chini ya mpera hesabu za kuuza ubuyu wa mwalimuuUlisomea hesabu wapi hivi kweli hizo 131+168 tunapata uwiano Wa kura 270
Weweni mpumbavu...angalia vizuri....Ulisomea hesabu wapi hivi kweli hizo 131+168 tunapata uwiano Wa kura 270