2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

FB_IMG_1478662440479.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wanaziita electoral votes kutoka states mbali mbali. Na hizo zinatolewa kwa kufuata population ya states ingawaje kumewahi kuwa na malalamiko baadhi ya states ambazo hazina population kubwa lakini zina electoral votes nyingi ila malalamiko hayakufika kokote.

okay...sasa nimeelewa kumbe mgombea urais anahitajika kushinda majimbo 270?
 
Kuna counter attack... Itatokea muda si mrefu.. Sisi wapenda mpira wa miguu tunasemaga hivyo... Subirini muone.....
 
Ni lazima achukue Florida ili kuongeza matumaini Mkuu, bila Florida shughuli itakuwa nzito sana.

Mama kashinda colorado..now mama131 na trump 168..race to 270
 
Okay...thank u nimekuelewa sasa...

Thank u....!!
Wanaziita electoral votes kutoka states mbali mbali. Na hizo zinatolewa kwa kufuata population ya states ingawaje kumewahi kuwa na malalamiko baadhi ya states ambazo hazina population kubwa lakini zina electoral votes nyingi ila malalamiko hayakufika kokote.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom